>>>Naam mjumbe kama bango linavyosomeka Leo nataka nikuoneshe jinsi ya kurudisha namba za watu muhimu ulizowai kuzifuta au kupoteza tangia unaanza kutumia simu janja(Smartphone)
>>>Pengine umepoteza namba za watu muhimu katika maisha yako na umeshindwa kuzipata basi Leo ntakuonesha njia rahisi ambazo unaweza kuzifata na kurudisha namba zako muhimu sana
1.RUDISHA NAMBA ZILIZOPOTEA KUPITIA GOOGLE
>>>Hii ni njia iliozoeleka unaweza kurudisha namba zako kupitia google chakufanya bonyeza hapa ili kuona namba ulizozisave kwa google account endapo siku utapoteza simu au namba basi utazipata kiurahisi kupitia google
2.RUDISHA NAMBA ZOTE KWA KUTUMIA FACEBOOK
>>>Hii ndio njia bora kabisa kama wewe uliwahi kutumia mtandao wa facebook basi ondoa shaka namba zako za watu muhimu na ata namba za michepuko wako utazipata bila shida yoyote
>>>Hii ni njia nzuri sana itakuwezesha kupata namba nyingi sanaa ulizowai kuzitumia muhimu ni kwamba BONYEZA HAPA baada ya apo weka taarifa unazotumia kuingilia facebook kama vile (Email na Password) ukishajaza kwa ukamilifu utaona namba za miaka ya nyuma ulizowahi kuzitumia
>>>Na hizi ndio njia rahisi unazoweza kuzitumia kurudisha namba za watu wako wa muhimu ulizowahi kuzipoteza
>>>Chakufanya usisahau kujoin katika channel yetu ya Telegram bonyeza hapa bila kusahau kusubscribe youtube bonyeza hapa ili uwe wakwanza kupokea taarifa mbalimbali
>>>Kama unaswali,ushauri,maoni usisite kutuandikia kwenye comment hapo chini
❤❤❤
Comments
Post a Comment
nini maoni yako