ENGINEER WA TWITTER AFUNGUKA(Elon analindwa mpaka chooni)

 Engineer wa Twitter ambaye hakutaka jina lake liwekwe wazi kaimbia BBC mmiliki wa Twitter Billionaire Elon Musk analindwa na kusindikizwa kila mahali hadi chooni na madodyguard wawili mabaunsa waliopanda hewani.



Elon Musk pua kamuongezea ulinzi baba yake nyumbani kwake Africa kusini kwa kumzungushia zaidi fensi ya umeme na walinzi wenye silaha za moto masaa 24.



Kipindi cha chuma baba yake Elon muska aliwaua kwa risasi vibaka wawili waliojaribu kuiba TV nyumbani kwake Cape town south Africa





Comments

Popular posts from this blog

FAHAMU MAMBO YOTE KUHUSU DARKWEB/DEEPWEB

JINSI YA KUSHINDA BET YOYOTE YA MPIRA WA MIGUU (Football)

JINSI YA KURUDISHA NAMBA ZA SIMU ZILIZOFUTIKA/ZILIZOPOTEA