ENGINEER WA TWITTER AFUNGUKA(Elon analindwa mpaka chooni)

Image
 Engineer wa Twitter ambaye hakutaka jina lake liwekwe wazi kaimbia BBC mmiliki wa Twitter Billionaire Elon Musk analindwa na kusindikizwa kila mahali hadi chooni na madodyguard wawili mabaunsa waliopanda hewani. Elon Musk pua kamuongezea ulinzi baba yake nyumbani kwake Africa kusini kwa kumzungushia zaidi fensi ya umeme na walinzi wenye silaha za moto masaa 24. Kipindi cha chuma baba yake Elon muska aliwaua kwa risasi vibaka wawili waliojaribu kuiba TV nyumbani kwake Cape town south Africa

JINSI YA KUSHINDA BET YOYOTE YA MPIRA WA MIGUU (Football)

                                              (Atembeae  na  JUA,Hujuwa)


>>>Naam  mjumbe   kama  wewe  ni  mmoja  wa  wadau  unaetafuta  riziki  zako  kwa    njia  ya  kubet   basi  amini  umekuja  sehemu  salama.


>>>Kutokana  na  ukosefu  wa  Ajira  vijana  wengi  wamekua  wakijihusisha  na  betting  kama  Njia  ya  kujitengenezea  kipato  lakini   kwa   bahati  mbaya  wengi  wanakurupuka  tu  billa  kujua   huu  mchezo  hauitaji  mihemko  na   hasira

>>>Pia   betting  ni  kama  kilevi  mtu  akianza  kubet  ni  sawa  na  mlevi  alieanza  kunywa  pombe  ni  vigumu  sana  kuacha  japo  wengi  wanapoteza  pesa  zao  kupitia  mchezo  huu  lakini  mioyoni  wanaamini  ipo  siku  watapata  maisha  mazuri  kupitia  Betting    jambo  ambalo  linahitaji  utulize  Akili  na  utafute   njia  sahihi  ya  kukuwezesha  kufanikisha  ndoto  zako

>>>Sasa  bila  kupoteza  mda  nkupeleke  kwenye   mada  husika    ambayo  ni  jinsi  ya  kushinda  bet  yoyote  ya  mpira(football)  kwa  kutumia  App  hii  ambayo  huipati  kokote kwingine  mtandao ni,



>>>Kama  unavyoona  mdau  App  hii  itakuwezesha  kupunguza  hasara   za  kubet  na  badala  yake  itakusaidia  kutengeneza  pesa   nzuri  kupitia  betting

JINSI  YA  KUTUMIA  APP   HII
>>>Kwa  maelekezo   namna  ya  kuitumia  App  hii  tazama  hii  video  kwa  umakini  


>>>Ukishaelewa   jinsi  inavyotumika  kinachofata  ni  kui download   kupitia  Channel   yetu  ya  Telegram  Bonyeza hapa kujiunga



>>>Ukishajiunga   pakua iyo  APP  kisha  data  za  kujaza   utazikuta  SOFASCORE    au  FLASHSCORE



>>>Baada  ya  apo  utaweka  data  zako  kama  ulivyoona  kwenye  video   hapo   juu  na  kisha  utabonyeza  calculate


>>>Na  hii  ndio  njia   rahisi  utakayo  weza  kutengeneza  pesa  kupitia   betting

>>>Kama  unashida   yoyote,maoni,swali,Ushauri  usisite  kuandika  kwenye  comments  hapo  chini

>>>Pia  subscribe  blog  yetu  na  youtube  Channel  ili  uwe  wakwanza  kupokea  habari  nzuri   zaidi
  





                            ❤❤❤
               like,subscribe,share  &  Comment

Comments

Popular posts from this blog

FAHAMU MAMBO YOTE KUHUSU DARKWEB/DEEPWEB

JINSI YA KURUDISHA NAMBA ZA SIMU ZILIZOFUTIKA/ZILIZOPOTEA